Sahau kuhusu hilo.Hii ndoa naitabiria maisha mafupi sana.
hahaha huwa nawashangaa wanazipelekaga wapi na wanapata sh ngapi hapa mujini ukilala njaa umependa aisee
Hshahaa nimecheka balaa, naacha kf mimiWala hawezi kufanikiwa anajisumbua tu, labda aje na id nyingine ndo ajaribie kurusha nyavu ila hii ya jambilo inamhusu Patience123 tu
ππππ mama jambilo....Mrs jambiloWala hawezi kufanikiwa anajisumbua tu, labda aje na id nyingine ndo ajaribie kurusha nyavu ila hii ya jambilo inamhusu Patience123 tu
Hapa kama maji kudaaaadeki, usipoyaoga basi utayanywaHshahaa nimecheka balaa, naacha kf mimi
ndio hnyPole mpenzi, umepunguza kazi?
Cc Patience123ππππ mama jambilo....Mrs jambilo
Shemeji yangu..Pole na kuumwa ila nashukuru kwani unaonyesha kila dalili kuwa sasa upo fit...Unajua Shem najiuliza jinsi mtumish jambilo alivyokuwa amesimama kiimani ni wapi hapo walianza peana limbwata na Jimena na si unaona Patience123 haonekani yaani yeye ni kufunga na kuomba tu..msimseme bure.Labda kala limbwata kwa jimena..
Jimena fungka umemlisha nn baba mchungaji????analiaibisha kanisa
Hahahaaa...!!!Ndugu mshana nimegundua vichwa vingi vimelala huku 'Makapuku' I mean huku ndo kuna vichwa hasa so hakuna tena haja ya kuweka jam Google kila jibu tunalipata huku! Eti nasikia kuanzia mwaka ujao wa fedha ukienda guest dai risiti,ukiona jirani yako kafanya sherehe muulize kama amelipa V.A.T 18%? Ukimlipa baba mkwe mahari dai risiti!
muhurumie basi..Kashaanza kuwehukaAnajitoa fahamu tu, sasa inamaana nikimlisha limbwata atakuwa kichaa kabisa
Tutaona,maana mnaringa sana.πππ dua la kuku hilo
asante shem...Ila hivi huyu baba mchungaj ana mke eenh?Shemeji yangu..Pole na kuumwa ila nashukuru kwani unaonyesha kila dalili kuwa sasa upo fit...Unajua Shem najiuliza jinsi mtumish jambilo alivyokuwa amesimama kiimani ni wapi hapo walianza peana limbwata na Jimena na si unaona Patience123 haonekani yaani yeye ni kufunga na kuomba tu..
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππTutaona,maana mnaringa sana.
ππππ mama jambilo....Mrs jambilo
Huyu jamaa atakuwa ameingiwa na pepo la kukutaka uwe mpenzi wake.Anajitoa fahamu tu, sasa inamaana nikimlisha limbwata atakuwa kichaa kabisa
Nataka nikukunywe jimenaHapa kama maji kudaaaadeki, usipoyaoga basi utayanywa
Basi shem kumbe ndiyo maana ulikuwa side yake si tu ana mke anamke tena mwema anaitwa Patience123 na mtoto wa watu anampenda mno ndiyo maana Mtumish jambilo ana-take hiyo advantage ya kufanya afanyalo..asante shem...Ila hivi huyu baba mchungaj ana mke eenh?