Makapuku Forum

Yaani ili zengwe la hawa majamaa wanajuana wao kwa wao
 
Lukaku ni straika mzuri pia umri wake unambeba
Ibra wa sasa sio wa zamani anatkwa awe anaingizwa km sub na sio kucheza dk 90 maana hakabi anapoteza mipira kiboya akipata chance 9 anafunga goli 3 tu
...
Lakini josee ndo alimuona hafai pale Chelsea akamtoa kwa Everton ...sijui kwani wachezani ambao hawaamini huyu mreno waga wanamuaibisha

Inshort hawezi tengeneza mchezaji anataka ambao tayari wako on peak matokeo yake ndo hivo wazee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…