Nawe pia Lee asante sana kwa magazeti na unbelivable facts kazi yako ni njema barikiwee sana Lee wa ShunieTuwe na Siku njema
Tukooo poaa kiongoziiMmeamkeje wakuu JP njema
Mmeamkeje wakuu JP njema
Pamojaa mkuuLee asante kwa magazeti
Mzima mkuu
Asante mama mtumishi ...ubarikiweNawe pia Lee asante sana kwa magazeti na unbelivable facts kazi yako ni njema barikiwee sana Lee wa Shunie
Good morning wakùu
![]()
Baada ya plan A ya kolabo ya Prof Lipumbavu, CVM na Msajili kuonekana imeshindwa kufanya kazi sasa wameanza kuleta Plan B ili kionekane ni chama cha vurugu
Yaani ili zengwe la hawa majamaa wanajuana wao kwa waoBaada ya plan A ya kolabo ya Prof Lipumbavu, CVM na Msajili kuonekana imeshindwa kufanya kazi sasa wameanza kuleta Plan B ili kionekane ni chama cha vurugu
Hawa CIA wa Tanzania (TISS} nahisi km wanahusika kwenye hii Plan B
Jumapili njema
............
Lukaku ni straika mzuri pia umri wake unambeba
Utasikia Msajili atazuga kulaani vurugu wakati yeye ndo vurugu zakeYaani ili zengwe la hawa majamaa wanajuana wao kwa wao
Lakini josee ndo alimuona hafai pale Chelsea akamtoa kwa Everton ...sijui kwani wachezani ambao hawaamini huyu mreno waga wanamuaibishaLukaku ni straika mzuri pia umri wake unambeba
Ibra wa sasa sio wa zamani anatkwa awe anaingizwa km sub na sio kucheza dk 90 maana hakabi anapoteza mipira kiboya akipata chance 9 anafunga goli 3 tu
...
Tushawazoeaa na upuuzi waoUtasikia Msajili atazuga kulaani vurugu wakati yeye ndo vurugu zake
...
Nipo mtaasisi jana nilishindwa kupata good music nilikuwa hoi sanaUpo mtaalam
Cancer kwenye alizeti!!
Habari ya mwalimu Joyce imenishangaza sana
Asante sana mkuuTuwe na Siku njema