Makapuku Forum

2/India Wahindi wanapenda ngono balaa, pia wanasifika kwa uchafu usishangae kuwakuta bararani huko Mumbai wakishusha tu kojo kwa raha zao
Kasi yao ya kuzaliana ni kama panya
Wapo Bilioni moja, milioni mia tatu arobaini na mbili na laki tano(1,342,500,000)
Wazee wa bajaji
.....
 
Duuh!!! Us milioni mia tatu na ushee then unachupa mpaka B!!!
.....najua Shung shwan atakuwa top!!!
 
1/China

Hawa macho madogo wapo takribani Bilioni moja, Milioni mia tatu themanini na nane na laki mbili[1,388,200,000)
Wanasifika kwa uchapakazi na kuzalisha bidhaa feki.ndio Taifa linalotishia uchumi Wa Marekani kutokana na ukuaji wake

Wamepunguza kasi ya kuzaliana hivyo sio ajabu wakipitwa na Wahindi
Mwisho
.........
 
Utu tumjamaa achana kabisaa ...wengii balaa

Vipi kwenye hiyo number wale wa kariakoo na kurasini wamo au ??
 
Binamu shikamoo hivi Adolph mbinga anapiga gitaa gan na shakashia sijui shakazulu
Sijambo auntie, pole kwa kuchelewa kujibu. Adolph Mbinga , bwana mzuzu yeye alikuwa akipiga gitaa la solo, upigaji wa solo unakuwa ni pale mpigaji anapiga mtindo mmoja tu bila kubadili au kuingiza mipingo mingine.

Miraj Shakashia, utampenda akiwa na kina Banza pale Afirca Stars na kisha TOT, huyu alipiga 'rizimu' rhythm , msikilize pale Banza anaimba 'kula mbakizie baba"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…