Makapuku Forum

Huwa namfuatilia sana huyu mtumishi wa Mungu bushiri na makanisa ambayo yapo Tanzania, yupo vizuri sana, na ukisali makanisa yake lazima utaona mafanikio, kumbe unaendaga kanisa la makongo oh glory to God basi utakua umeiva OH jesus that my boss
 
Duuuuh
 
7/Niger

Haka kanchi kanapatikana huko Afrika Magharibi ..inapakana na akina Nigeria
Karibu nusu ya wananchi wake wana umri wa miaka 15 au chini ya hapo yaani Taifa lao limejaa vitoto tiupu
Kipato chao ni USD 853
29% ya wananchi wake ni mambumbumbu
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…