Really ahhhhhh acha utani banah teh teh teh page namba ngapi nirudi kusoma, ila najua kama kweli ningepokelewa kwa makofi na shangwe maana valentina amenisumbua kichwa hizi siku mbili tatu kila mtu anajua
Nini tena mkuu, unanitisha kuna jambo limenipita zaidi ya magazeti, quotes binafsi najua valentina hataki kazi za kichungaji ndiyo maana hanitaki na hatoi jibu