Ukifuatilia dini/biblia/makanisa/misikiti kwa kutumia Imani utaona mambo tote yanayofundisha ni kweli 100%Halaf tulivyo wajinga unaambiwa njoo upande mbegu,toa mfano lak moja kuubariki unabii na utaona muujiza wa Mungu, utanunua gari mwaka huu,utajenga nyumba bla blaaa kibao na tunaamini, ila ajabu yake miaka itaenda weee hata kiwanja huna, unajiuliza hivi ni wapi Mungu alisema uombe tu bila kufanya kazi,fanya kazi muombe Mungu atabariki kazi za mikono yako na kukuzidishia
Pia kumbuka Chelsea juzi kashikwa na Man Utd ni mara ya kwanza baada ya miaka kumi km sijakosea kushindwa kuifunga goli hata moja Man UtdInatokea mara chache sana katika soka yaani Dakika 180 ( Home and Away ) Barca hawajapata hata goli moja, mwisho umekaribia.
Kweli kukosa kila kitu ni vibaya heri abakie na ndevu hizohizo
Kweli mkuu, hilo ndio soka na ndio maana tunalipenda kwa mambo kama hayo.Pia kumbuka Chelsea juzi kashikwa na Man Utd ni mara ya kwanza baada ya miaka kumi km sijakosea kushindwa kuifunga goli hata moja Man Utd
.....
Nadhani umenielewa vibaya ma dear, si kwamba tusifate yale tunayofundishwa ama tunaona kama yote ni uwongo, la hasha,kwann basi Mwenyezi Mungu alisema asiyefanya kazi na asile?Hakuwa mjinga kuna dada mmoja jirani yetu kabisaaa, alininuliwa cherehani na mume wake den mume akasafiri akijua mama hata pesa ikiisha hii itamsaidia, akawa anaenda kwenye haya makanisa yetu, mhubiri akawaambia ili upande mbegu ya utajiri weka kitu unachokipenda Mungu atakubariki akaenda kachukua ile cherehani akaipeleka, muda ukaenda hana kazi yy na kanisa,mume hajarudi safari,mwisho hali ikawa si hali watoto shule wakafukuzwa ikawa sasa hadi anaomba chakula kwa majirani,mume akapata taarifa kurudi hakuwa na simile alimpa talaka, c vyote tunavyoambiwa lazima tufanyeUkifuatilia dini/biblia/makanisa/misikiti kwa kutumia Imani utaona mambo tote yanayofundisha ni kweli 100%
Ukifuatilia sasa kwa kutumia akili za kawaida utagundua ni uongo 99%
Mi Nakumbuka kubishana na Katekista Sunday School nikiwa dogo nilikuwa nasema huo ni uongo na kujibu mambo kinyumenyume jinsi ninavyoelewa mimi na kuishia kupigwa makwenzi...sasa rafiki yaje akaniambia ukiwa hapa akili ziache nyumbani lasivyo utafeli mtihani wa kumaliza komunio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
OKNadhani umenielewa vibaya ma dear, si kwamba tusifate yale tunayofundishwa ama tunaona kama yote ni uwongo, la hasha,kwann basi Mwenyezi Mungu alisema asiyefanya kazi na asile?Hakuwa mjinga kuna dada mmoja jirani yetu kabisaaa, alininuliwa cherehani na mume wake den mume akasafiri akijua mama hata pesa ikiisha hii itamsaidia, akawa anaenda kwenye haya makanisa yetu, mhubiri akawaambia ili upande mbegu ya utajiri weka kitu unachokipenda Mungu atakubariki akaenda kachukua ile cherehani akaipeleka, muda ukaenda hana kazi yy na kanisa,mume hajarudi safari,mwisho hali ikawa si hali watoto shule wakafukuzwa ikawa sasa hadi anaomba chakula kwa majirani,mume akapata taarifa kurudi hakuwa na simile alimpa talaka, c vyote tunavyoambiwa lazima tufanye
Wameshikiwa akiliHiyo kitu huwa inanishangaza kweli... Akili zao sijui huwa zinahamia wapi
Balikiwa => BarikiwaAmina... Balikiwa na wewe mkuu