Tatizo la huku mabinti hawazidi wanne na wote wana minjemba tena mikakamavu na yenye wivu ugusao mawingu. Waoaji tupo lakini waolewaji hakuna lakini hapo hapo mabinti wanalia eti waoaji hakuna. Hii naiita Makapuku Paradox...
Mimi sijaona dhambi gani utachuma hapo, jaribu kuniweka katika mawazo yako na upime uzito wa mahaba juu yangu, halafu ndiyo utajua unafaa kuwa mama mchungaji au lahasha