Makapuku Forum

Wazo zuri. Yaani mashujaa na manabii wetu habari zao ni za kubabia babia tu. Tumeaminishwa kwamba hatukuwa na history kabla ya akina Karl Peters, Livingstone, Morton Stanley, Mungo Park na magenge yao kutia guu Afrika. Nitafuatilia kwa makini!
Hilo suala tutalifanyia kazi likikamilika utaanza kuna mabadiliko
Mi pia napenda historia za kikwetukwetu zenye kuvutia
..........
 
Wazungu wametuzidi tu ujanja ndio maana wakaja kututawala badala ya sisi kwenda kuwatawala coz walitafiti wakagundua uwezo wetu mdogo wa kufikiri
......
Oversimplification! Unaweza kuliangalia hili suala kifalsafa na/au kupitia lensi za matapo mbalimbali ya kinadharia - kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. Katika tapo la kiMarx, kwa mfano, tofauti za mifumo ya uzalishaji mali kati ya jamii za Ulaya na Afrika katika miaka ya 1800 ndiyo kisababishi kikubwa cha sisi kutawaliwa. Wenzetu wapo kwenye industrial revolution sisi bado tuko kwenye ujima. Kuanzia hapo kila jambo analolifanya mzungu kwa Mwafrika ukiangalia vizuri lina maslahi ya kiuchumi kwake. Na of course, ili kumtawala vizuri Mwafrika ilibidi kwanza kuharibu utamaduni na fikra zake. Na kuanzia hapo imekuwa downhill.

Tungekuwa sawa kama tungeachwa tuvuke zile hatua za kimaendeleo (ujima>ukabaila>ubepari>ukomunisti) sisi wenyewe. Hapo ndipo tungeweza kuunda mifumo yetu ya kiutawala, kiuchumi, kisayansi, kifikra n.k. Sasa tulirushwa kutoka Ujima hadi mateka wa ubepari overnight. Tumevurugwaaaa!!!
 
Point mkuu
 
Anafaa lakini kuwa mama mchungaji si eti, valentina ni karembo kuwa basi mshenga ili upate baraka tele kumuwezesha mchungaji wako kupata jiko
Baba paroko kwanza nashukuru kwa kuniamini na wathungu wanasema undugu kusaidiana ...yaani kama umefwatiliaa nilivomuona tu nkasema huyu mucuuuuteee katokeaa wapi ...anafaaa kabisa na inaonekana kakua kiroho ukichanganya na upako wako bwaaaanaaaabwaaanaaaah ...
 
Ukweli mtupu
Yaani hata huyo Michael picha take ya kwanza yupo safi kabisa ila hakujikubali na ndicho wanachofanya dada na mama zetu tena siku hizi hadi vidume vimejichubua vinatisha km paka

......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…