Makapuku Forum

Ndiyo kusema njemba zimepungua au ni jamaa kazidisha wivu? Au mtongozwaji ka...

Kwema mkuu Shedede? Hapa mimi mtandao huku Koromije unasumbua balaa. Ukijumlisha na mihangaiko basi shida tupu!
Mkuu shimba kwanza pole na majukumu ya huko call me jay naomba ushauri aiiseh nna kamtaji kangu kadogo dogo kama mil.4 hiv ila nna ttzo moja tu nna matumiz mabaya ya pesa aiiseh yaani nisione kitu nakirukia mpaka naisi iyo mil.4 ndani ya mwezi itakuwa imeisha aiiseh.

Nashindwaga kujizuia yaani najikuta natoa pesa nanunua nguo na vitu vingine aiiseh yaani ni shidah mkuu nishauri bhas nifanyeje niache tamaa za kununua nunua mavi2 angalau niwe tajir sku moja.

Nawengine nishaurini jamani
 
Leta nikutunzie wakati unawaza la kufanya
 
acha usharobaro tafuta maisha kuvaa kupo tu insta inakupoteza funga acc huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…