hahahhhhh sakayo ukuje huku usikie vipi lkn shem wamekuacha salama kabisa usije ukaja kwenyr press ukashindwa ongea yoteNimeokotwa njia panda ya kwenda ununio..
Niko Sanitas hapa nacheki afya...Jtatu nitakuwa Press ukumbi wa Mwal. Nyerere.
HakikaHilo bunge litakuwa kibogoyo
Nimekujaaahahahhhhh sakayo ukuje huku usikie vipi lkn shem wamekuacha salama kabisa usije ukaja kwenyr press ukashindwa ongea yote
Hilo kweli ni tatizoMmh lazima kuwepo madudu tu,hv unajua kuna wakati hazipakii watu eti system ya kukata tiket iko down,na wanapanda wenye kadi tu ,na kadi hazikatwi tena walisitsha hilo zoezi,ila unaweza kurenew tu,so hawakujipanga
Hatimae UmekujaMorning Katibu...
Mambo vipi
Mungu wanguNimeokotwa njia panda ya kwenda ununio..
Niko Sanitas hapa nacheki afya...Jtatu nitakuwa Press ukumbi wa Mwal. Nyerere.
Ila raia wake wako poa mpaka SHIMBA YA BUYENZE anataka kurudi kuleHana jipya
baby wako kumbe alitekwa eb mkague kague koteNimekujaaa
hahahhhhHatimae Umekuja
Hebu nihakikishie usalama wa afya yako kwanza
Morning love [emoji7]Goodmorning family..
miss u too mondray mzima lkn naona umeachiwaWakuu wazima humu
Shunie nimekumiss sana.
Na bado inakimbiaJamiiforums ni msitu mnene, hii thread imeshakimbia kiasi hiki?
Pimbiz uko bombazIla raia wake wako poa mpaka SHIMBA YA BUYENZE anataka kurudi kule
Sio ya kuchekaaa hayo mdogo wanguhahahhhh
Ngastukaababy wako kumbe alitekwa eb mkague kague kote
Hapo nimekupata...hapo nimetumia tu maneno ya kitaalam, ila kwa kifupi ni kucheza kamari kwa kubet
Yaaap nimeachiwa toka jana ila niko busy sana nashindwa kuingia!miss u too mondray mzima lkn naona umeachiwa
KamooGoodmorning family..
Mkuu mazao sijauza maana soko sikupata la uhakika nikawa nimepigiwa simu na rafiki yangu kuwa niende Malawi Mara mojaMalawi tena vipi mazao ulimaliza kuuza, na matunda ya kina Emmy tena mpk safari ijayo