Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
hayo ni zaidi ya mahaba
......
Kweli mkuu ...mtu anafungua saa 4 afunge saa 7 daaaaaaah bashite shidaaBashite ni fala
Nasikia faini buku 50
Kweli serikali imefilisika
...
Leo Katika Historia:
1865 - Rais Abraham Lincoln anafariki Dunia siku moja baada ya kupigwa risasi.
Makamu wa Rais Andrew Johnson anachukua wadhifa huo kama Rais mpya wa Marekani.
Apo ndo utagundua josee akili waga zinamruka
Chelsea walipoteza jembe
Nafikiri sasa atafaa kwa timu zingine mkubwa
.....
Tumekumis pianimewamiss hii familia niwatakie asbh njema na maandalizi mema ya pasaka nawapenda sana
1912 - Meli ya RMS Titanic yazama mara baada ya kugonga barafu baharini.
Abiria 710 pekee ndio wanasalimika kifo kati ya abiria 2200.
Miss wewe pianimewamiss hii familia niwatakie asbh njema na maandalizi mema ya pasaka nawapenda sana
"If you want to test a Sukumaman's character give him power"Kweli mkuu ...mtu anafungua saa 4 afunge saa 7 daaaaaaah bashite shidaa
Wasukum kama jpm ni shidaa"If you want to test a Sukumaman's character give him power"
Abraham Lincoln
...
Amen nawe pia mkuu,asante kwa historia ubarikiwe sanaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
shukran diktekta kwa historia na Bitoz kwa pichaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
R.I.P Thomas Andrews1912 - Thomas Andrews anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara na mtengenezaji wa melinya Titanic.
nakupenda pia dada angu mzima lkn inabidi nijitahidi kuzoea lile neno analo taamka husnaMiss wewe pia
Uwe na Maandalizi mema ya pasaka...
Nakupenda mdogo wangu
Pamoja mkuushukran diktekta kwa historia na Bitoz kwa picha
nashkuru ubarikiweTumekumis pia