GENK wapo vizuri zaidi wakiwa nyumbani[emoji117] Tuanze na timu yetu pendwa yenye kujana wetu mpendwa ,,,Michuano ya vilabu ulaya bhn huwa ni hatari sana kama utaruhusu timu mgeni apate goli katika kiwanja chako wewe timu mwenyeji..... Makosa aliyoyafanya Celta Vigo ni kuwaruhusu KRC Genk kupata goli mbili ugenini, ila pia makosa aliyoyafanya Genk ni kuruhusu goli nyingi katika nyavu zake...... hii inamaanisha namna mchezo utakavyokuwa mgumu kule nyumbani kwa Genk.... Namna timu hizi zinavyocheza ni ishara tosha ya mchezo mgumu sana na usiotabirika katika siku za usoni.
Jean Paul Boetius jezi namba 9 mgongoni winga ya kulia....... Hii ni fedha nyingine pale KRC Genk. Ni mchezaji hatari sana katika jezi ya Genk anapita tu huyu siku sio nyingi mholanzi huyu tutasikia habari zake sokoni.
GENK wanafunga ila Genk pia wanafungika......
Celta Vigo 3-2 KRC Genk
[emoji117]Huku sasa ....naona mzee Josee anaendeleza ubabe wake wa kutopandwa kichwani ata kama una mchango upi kwa timu...anyway tuyaache ya Degea na mzee wake ...najiuliza mzee unashindwa kutambua kuwa biashara ni asubuhi na jioni ni mahesabu.... Manchester United wanashindwa kufanya biashara asubuhi kule Brussels Belgium na kujiweka katika ugumu wa mahesabu jioni kule Manchester.....
Mchezo wote ulikuwa chini ya miguu ya United ila wamepata nafasi lakini wanashindwa kuzitumia, hilo limekuwa tatizo kubwa kwa Manchester united kwa Msimu huu...... Sare ni kitu kilichozoeleka sasa katika ubao wa matokeo ya Manchester united...... Jose Mourinho shtuka kama unataka kushiriki UEFA champions league Msimu ujao basi Europa league ndio njia yako iliyopo wazi kwa sasa. Kushindwa kulinda ushindi ni ugonjwa kwa jose Mourinho na Manchester united yake Msimu huu.
Anderlecht 1-1 Manchester united
100% [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] that's true
😀 😀 😀 😀 😀maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
Nimekumiss[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]Habari
Haha nilishaagiza simu China kwenye mtandao baada ya miezi 3 nikapata ingawa nilikuwa nimwshakata tamaa kabisaUsiombe ikukute
Niko poa mkuu , naona hamtaki kabisa kunikaribisha mwenzenu, nawaona mkiitana bby , Mara love halafu mm siitwi daah, waambie akina Shunie na Sakayo wasinitenge hivyoMkuu uko poaa ??
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
Ahaaaaaah hayo maneno yana wenyeweeNiko poa mkuu , naona hamtaki kabisa kunikaribisha mwenzenu, nawaona mkiitana bby , Mara love halafu mm siitwi daah, waambie akina Shunie na Sakayo wasinitenge hivyo
KaribuOi oi niaje nimeingia lasmi kapuku forum na sitoki
Mbona wivu mapema hivyo mkuuNiko poa mkuu , naona hamtaki kabisa kunikaribisha mwenzenu, nawaona mkiitana bby , Mara love halafu mm siitwi daah, waambie akina Shunie na Sakayo wasinitenge hivyo
Muda huu yupo hewaniNitakuja hubby wangu akitoka kifungoni
Una uhakika?Muda huu yupo hewani
maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
Mis you [emoji8] [emoji8] [emoji8]Una uhakika?
HongeraHaha nilishaagiza simu China kwenye mtandao baada ya miezi 3 nikapata ingawa nilikuwa nimwshakata tamaa kabisa
Wana watu wao nawe tafuta mwenzako mlete humu muendeleze mapenzi mubasharaNiko poa mkuu , naona hamtaki kabisa kunikaribisha mwenzenu, nawaona mkiitana bby , Mara love halafu mm siitwi daah, waambie akina Shunie na Sakayo wasinitenge hivyo