Ni kweli mkuu ,mechi itakuwa ngumu hasa kwa upande wa Munich kuruhusu mabao mawili nyumbani ukijua fika unaenda kumalizia kwenye kelele za wale wahispania ni tatizo kubwa sana
Buyern walichoanza nacho sicho walichomaliza nacho ...apa wataraumiana wenyewe kwa wenyewe zile gang press za pale kati tuwaachie mwalimu na mwanafunzi ila kuumbuana tatzo kubwa sana
Javi Matinez ndo hivo tutafanyaje sasa ...
Ronaldo anajaribu kukwepa kuraumiwa yasije kumpata kama ya ndugu yake yule japo yale makeke yake ya kukusanya kijiji tokea pembeni hatuyaooni kaamuaa aanze kuvizia pale katiii