Nami nimekusaka sana jmn myKaka ni nini lakini???!
Kwema???! Nimekutafuta ivo Jamaniiii
Miss you more brotherYaani wewe mbaya siku hizi!
Kwanini usinipigie simu ujue hali yangu!!
Miss u badly
JamaniiiiNami nimekusaka sana jmn my
Uongo ni dhambi, Mungu akurehemuMiss you more brother
Simu nimepiga hapatikani kabisaa, si chini ya mara kumi
Mke ya Transcend..Ngoja ni logg off kabisaa
Majukumu mpendwa wangu, hatimaye tumeonanaJamaniiii
Hali yako??! Kulikoni kaka
Nawe pia uwe na usiku mwemaWakuu
Niwatakie usiku mwema wottttte
Kaka Huniamini au!! Labda ile namba sio yako!!! Leo, Jana mpaka nikaamua kumuuliza mama MchungajiUongo ni dhambi, Mungu akurehemu
Kaka Huniamini au!! Labda ile namba sio yako!!! Leo, Jana mpaka nikaamua kumuuliza mama Mchungaji
Mume wangu TMke ya Transcend..
Mke ya kapuku...
Mke wa maisha tangu! My number one and only..
Nakupenda sana wewe mwanamke....
Nakutakia usiku mwema..Mungu akulinda mama wa watoto wangu.
Na kweli tumeonana tenaMajukumu mpendwa wangu, hatimaye tumeonana
Najua hutaki amini ila mpaka namba iko kwa kichwa sababu ya ku call kila maraAcha uongo dadangu narudia tena
kwa spidi yenu ya zaidi ya page 20 kwa siku si mchezoKaribuuu
Shalom QUIGLEYUongo ni dhambi, Mungu akurehemu
Mke ya kapuku tena?Mke ya Transcend..
Mke ya kapuku...
Mke wa maisha tangu! My number one and only..
Nakupenda sana wewe mwanamke....
Nakutakia usiku mwema..Mungu akulinda mama wa watoto wangu.
Nilikuona mahaliAcha uongo dadangu narudia tena
PoleYaan leo nimeamua nianze kushabikia mpira, nikaenda kucheki timu yangu ya toka zaman Barca naona wamepigwa na hamu imeisha.....