2002 - Watu takribani laki mbili wanaandamana katika mji wa Caracas wakishinikiza Rais wa kipindi hiko Hugo Chavez ajiuzulu wadhifa wake.
Takribani watu 19 wanauwawa katika maandamano hayo.
Hugo Chavez mmoja kati ya Viongozi imara na walioisumbua Marekani kwa misimamo yao mikali.