Makapuku Forum

Kwanzia leo uwe unamlinda sakayo..

Yaani hata akitana dear mahali na mtu...

Report it me immediately..

Kazi njema! Nasema kapige kazi
Naona unamgeza dr.lee utafeli kaka yule ni dr. Sijui aliangalia vigezo vip akaniamin my self

In professional aliona nafaa kuwa body guard wa shunie ila leo naisi nikama nimemuuzi sana wacha apumzike kesho nimpe ripoti yote...
 
Makapuku wenzangu, naimani siku imeisha vizuri na tunajiandaa kupumzika, sisi night shifters ndo kumekucha maana tumelala mchana.

Wote tunajua utamu wa gitaa, na bila kujali unapenda muziki wa dansi au dini basi sauti ya nyuzi za gitaa hata kama hupendi zitakusisimua.

Tanzania tuna wapiga gitaa wazuri sana na wengine ni wa wakati wote, mkumbuke Kassim Mponda, Hamza Kalala na bantu Group, Maneno Uvuruge na Super 'reinboli', Rashid Kizunga, Adolph Mbinga na Mchinga, Dr Remmy Ongala (RIP Ramadhan Mtoro) kuwataja wachache.
Huko USA wapo wengi pia lakini Buddy Guy alionesha umahiri mkubwa sana katika kulicharaza gitaa, na Buddy Guy, aliweza kuwa mfano mzuri kwa kina Eric Clapton, Johnny Winter, na Hubert Sumlin.

hapa angalia mubashara ucharazaji wa magitaa toka kwa wakongwe kama nilivyoitoa YouTube

 
Huyu kayajuaje haya
 
ukiweka wapiga ngoma utaniita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…