Makapuku Forum

Hahahahaaaa... Natamani ungeujua ukweli... We mwenyewe mkeo tulifanya kukusaidia hapa....
Mkuu ilikuwa ni zuga tu watu wasishtuke, ulimi wangu ni mtu balaa, hawa viumbe wakija kwenye maombi..ninapowapa ushauri huwa wanasema wanajuta kuchelewa kuonana nami labda ningefunga nao ndoa, hivi huoni wale waliopotelewa na wenzi wanahisi wako kwangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…