Makapuku Forum

NUKUU YA LEO


There is no time to waste. We must either unite now or perish.

Hakuna muda wa kupoteza, lazima tuungane ama tuangamie

Haya maneno yalipata kusemwa na Mwalim. Julius Kambarage Nyerere, muasisi na baba wa taifa la Tanzania.

Mwal. Jk nyerere ndio aliyeongoza vita ya kupigania uhuru wa Tanganyika na baadaye kuwa Tanzania.

Mwal. Atakumbukwa kwa mchango wake ktk kupigania uhuru wa nchi za Africa hasa nchi za kusini mwa jangwa la sahara..

Ukweli wake, kupenda haki, utu wake, na maadili yake yameendeea kuwa kama nembo ya utambulisho kwa Taifa la Tanzania.

Mwalimu amepokea zaidi ya tuzo 12 kwa mchango wake ktk mataifa mbalimbali, aliongoza tanzania kwa miaka 24 kabla ya kung'atuka madarakani tar 5/11/1985.

Mwal. Alifariki dunia tar. 14/10/1999 akiwa na miaka 77.





Umoja ni nguvu! Mwalimu alipenda tuungane ili tuwe na nguvu..

Umoja wetu ni mafanikio yetu..

Transcend.
 
Naamini nyote mmeamka salama.....

Muwe na siku njema yenye mafanikio tele......

T leo umelala sana,,,,,, amka upate japo kikombe

You know how much I love you!!!
Morning lovie..

Hope umeamka salama mama..

Leo nimecheleww kuamka kidogo mamie..! Ile dozi ya jana sio kabisa..

On the way the way!

Nakupenda mke wa maisha yangu..

Have a blessed day
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…