Makapuku Forum

The Pursuit Of Happyness

Hii ni filamu ilivyochezwa takribani miaka 11 iliyopita, wahusika wakuu wakiwa ni Will Smith na mwanae Jaden, imechezwa mwaka 2006. Kuna mambo mengi yakujifunza katika filamu hii lakini kikubwa zaidi ni kuona jinsi mwanaume ukipigika hata mkeo aweza kukukimbia.

Katika filamu hii mwanaume anayeitwa Christopher Gardiner akiwa na mwanae wa kiume wanapitia katika kipindi kigumu, mpaka hata kufukuzwa kwenye nyumba.
Lakini pamoja na yote hakukata tamaa na hatimaye akafanikiwa kupata kazi.

Download hapo chini kwa torrent.

You are being redirected... 720p 750MB
You are being redirected... 1080p 1.5 GB

The Pursuit of Happyness - Wikipedia
 
huyo wa kupigika mpk mke akukimbie atakua amekupendea pesa mwanamke aliyekupenda ww kama ww ata upigike vipi hawezi kukimbia nikitulia nitaangalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…