Makapuku Forum

Muwe na jioni njema mashemeji na dada angu na mama mchungaji

hii hali ya hewa ya leo jamaan acha tu lee wangu nimekumiss tu natamani ungekuepo tujifunike shuka moja nakupenda sanaa [emoji8] acha tu niendelee kulala

nawapenda kapuku wote mbarikiwe sana [emoji120] tutaonana badae
 
[emoji111] [emoji124] [emoji443] [emoji445] [emoji444]
 
Hahaha
Unalala kweli
 
Pamoja shem
 
Dear nakuamini kuliko unavodhania na nakupenda na nakumis jifunike upate Joto japo langu lingelifaa zaidiii ila unajua nilipo japo [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] unawaza akili za usiku

Take care I love nd need u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…