Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Burudika na slow songsMuwe na jioni njema mashemeji na dada angu na mama mchungaji
hii hali ya hewa ya leo jamaan acha tu lee wangu nimekumiss tu natamani ungekuepo tujifunike shuka moja nakupenda sanaa [emoji8] acha tu niendelee kulala
nawapenda kapuku wote mbarikiwe sana [emoji120] tutaonana badae