Wapendwa Makapuku namshukuru Mungu kutuamsha salama na kutufikisha umbali huu,tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote anayotutendea maana anatupenda anatutunza na hajatuaacha katika mapito yote wako wengi wanatamani kuwa kama sisi hawajaweza,wengine hawajaamka kabisa,wengine wako vitandani wanaugulia na hata wengine hawana tumaini tena tumuombe Mungu atusaidie kuwa wavumilivu tunapopitia changamoto mbalimbali maana ndio ubinadamu,naomba Amani itawale ,upendo na mshikamano ....tufanye kazi kwa bidii huku tukimshirikisha Mungu katika kila jambo ..nawatakia jumanne njema ndoto zetu zikafanikiwe..nawapenda sana sana muwe na kila sababu ya kufurahia maisha na zawadi hii adimu ya uhai tuliopewa na baraka zote..Amen