Morning family..
Tuombe
Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu
Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..
Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN