Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ankaliiiiimpo wadau
Ankaliiiiimpo wadau
Karibu sana mkuu, karibu tena na tena
Tupo sammoo.. Karibu sanampo wadau
Jecha hachezi na Yanga itashindakama Jecha akicheza hiyo game, yanga wanaweza pindua matokeo mkuu!
Mi mzima kabisa nduguShukrani sana ndugu yangu.
Mzima lakini?
Mwenzangu, ndio mchungaji wa forum etiWait hivi jambilo ndo mchungaji😱😱

Mkuu hat down to you mapigo ya avatar yako nimeyapenda, karibu kanisani keangu inaelekea unapesa wew hadi jimena anakukubali!
Mchungaji anapohamasisha watu wakaivunje amri ya 6 bila kutakaHebu mtest mwambie muonane kesho uone kama atahamasika

kama Jecha akicheza hiyo game, yanga wanaweza pindua matokeo mkuu!

Uwe unapitapita humu bana mkuu kila unapopata muda., tunamiss ule ujiniaz wako
cc Jimena & MANDELAA KIWELU
Labda Jecha na timu nzima ya ZEC icheze.. tofauti na hapo mtatafutana bibieJecha hachezi na Yanga itashinda
Sana kwakweli, huyu mtu ni wa kipekee sanaaUwe unapitapita humu bana mkuu kila unapopata muda., tunamiss ule ujiniaz wako
cc Jimena & MANDELAA KIWELU
ankooo mbona kama sielewi ivi,,,,naona kuna mtu keshakudondokeaAnkaliiiii

Hata mimi pia nimefurahi tunakumbukana.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
ni kweli kabisaShukrani mkuu, ndo mambo ya chit-chat hayo...Briz nimeona mchango wako habari mukuu
Uje tu kama kujifunza kitu kipya kakaHaahaa,
Thanks sana kaka sema mimi sina dini.
Wew ulisema dhambi huwezi acha shemMchungaji anapohamasisha watu wakaivunje amri ya 6 bila kutaka![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaah wapiLabda Jecha na timu nzima ya ZEC icheze.. tofauti na hapo mtatafutana bibie
