MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,451
- 69,319
Hivi hunioni mkuu au unaogopa kutamka
Jambilo
Haahaa,
Hapana mkuu nakuona sana, Jambilo.
Ahsante nimekaribia, sema mimi mwenyeji kidogo.
Hivi hunioni mkuu au unaogopa kutamka
Jambilo
Eti wanadai baada ya azam kufungwa wao ndo wataenda kutukomboa kimataifa... Sasa najiuliza kwa jinsi walivyo walaini sijui watamkomboa nan mbele ya mwarabuYanga ni kama peremende, waarabu wanapenda sana peremende..
Nimefurahi bado unatukumbuka,Nipo Jimena,
Sema mambo yamebana kidogo.
Ahaaa senkyuHuyu sio mgeni baba mchangaji, tumewahi kukesha nae akiwa pamoja na briz na MANDELAA KIWELU mpaka tukafikisha replies 9k tukilala asubuhi kabisa siku hiyo
Cc Cobblepots
Jimena!! U knw smtym i wonder is the sun ever stops feeling jealous of u...you are too far hot than the sun.
aisee.......Karibu sana mkuu, karibu tena na tena
Au tujaribu ili tuone kama atanipa hiyo haki au hatanipa??Unaona, nilikwambia huyu anaremba sana c ajabu hata ck ya ndoa asikupe haki yako
Mkuu hat down to you mapigo ya avatar yako nimeyapenda, karibu kanisani keangu inaelekea unapesa wew hadi jimena anakukubali!Haahaa,
Hapana mkuu nakuona sana, Jambilo.
Ahsante nimekaribia, sema mimi mwenyeji kidogo.
kama Jecha akicheza hiyo game, yanga wanaweza pindua matokeo mkuu!Eti wanadai baada ya azam kufungwa wao ndo wataenda kutukomboa kimataifa... Sasa najiuliza kwa jinsi walivyo walaini sijui watamkomboa nan mbele ya mwarabu
Unaona, nilikwambia huyu anaremba sana c ajabu hata ck ya ndoa asikupe haki yako
Hebu mtest mwambie muonane kesho uone kama atahamasikaAu tujaribu ili tuone kama atanipa hiyo haki au hatanipa??
kama kawa ila si dawa, mzima wewe za hapa na pale zinasemaje?
Mkuu, mwenye kanzu ndo sheheWait hivi jambilo ndo mchungaji😱😱
Uwe unapitapita humu bana mkuu kila unapopata muda., tunamiss ule ujiniaz wakoNipo Jimena,
Sema mambo yamebana kidogo.
Nimefurahi bado unatukumbuka,
Usiku mwema mkuu wa majeshiusiku mwema n makapuku wenzangu nawapenda wotee upendo wa kawaidaa
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI