Nimetuma ile sala isemayo
Pigana nao wanaopigana nami,
Utete nao wanaoteta nami
Chukua na mkuki uwachome
Na wawe kama makapi mbele ya upepoooo...zaburi..wameshindwa
Nimetuma ile sala isemayo
Pigana nao wanaopigana nami,
Utete nao wanaoteta nami
Chukua na mkuki uwachome
Na wawe kama makapi mbele ya upepoooo...zaburi..wameshindwa
Oooh very bad my dada, kuna watu wamepotelewa na wachumba wananisingizia ati niko nao, nisaidie dadangu nna wakati mgum sana, wakati walikuwa wakinisifu kwa sala nilizowafanyia