Kumbe mlirudiana??
Nimetuma ile sala isemayoMzee komaa.... Hakika utashinda
Yeah babeTulilinde penzi letu,
Tusonge mbele my love
Khaaa.Mkuu leo watembelee usiku uwachanje chale wote walionitukana ili kesho waje maombini
Cc
Emmyguy
Youngblood
Hahah atubu kwanza ndo ajeJamaa anatia huruma
Teh naona kama vile tuko jumba la BBMNiambie![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu neno jema saana. Nipe verse nikaitafakari zaidi.....Nimetuma ile sala isemayo
Pigana nao wanaopigana nami,
Utete nao wanaoteta nami
Chukua na mkuki uwachome
Na wawe kama makapi mbele ya upepoooo...zaburi..wameshindwa
Tunakuchua ngap ngapView attachment 340786zawadi ya forum ole wako ujizidishie
Ila sio za majini hizi
Hee... Nani tena hao?Oooh very bad my dada, kuna watu wamepotelewa na wachumba wananisingizia ati niko nao, nisaidie dadangu nna wakati mgum sana, wakati walikuwa wakinisifu kwa sala nilizowafanyia
Mkuu anza na Luka 1:37 kwakuwa hakuna gumu lisilowezekana kwa BwanaMkuu neno jema saana. Nipe verse nikaitafakari zaidi.....
Anajisumbua tuLitunzeni tuu maaana huyu werrason naona kaanza kumzidi kete Th Name
Maana, hakuna namna my loveYeah babe
Hehehehe halafu kweli, yani humu kama bbm kabisaTeh naona kama vile tuko jumba la BBM
Jimena vijana wako wamekataa mema pabaya panawaita..mshana jr ndo huyo kaja
I love u baeMaana, hakuna namna my love