Kuna mstari moja alimchana dogo kwamba ana smell kama bikini ya cookie.
Mkuu natumia o2tv series kupata
Na wameendeleza season 3 episode ya 10 make walibreak ikiwa ya tisa ila inazidi kupendeza kinomaaa
Inshort Andre kajiunga na shyne wakiwemo genge la frida linaloongozwa na Danger kama Frank ulivomcheki mikwara yake kujaribu kumuua Lyon uku cookie akibanjuliwa na Angelo ...
Anika rasmi kwa lucious tena ila Tariq anamuwinda
SitokuteteaaaHaikuhusu
Naweza jitetea mwenyeweSitokuteteaaa
Naija!!! I no fit shout!
A man went to a Nigerian hospital for a check up. The x-ray showed he had a cockroach in his chest area and he would need surgery to remove it. After thinking about what he'd been told, he went to UK for a second opinion. They took a new x-ray and told him the cockroach was in the nigerian x-ray machine and not his chest.
Always get a second opinion!
Siyo kuhamia, hii inaitwa mwenye nyumba karudi mpangaji atahamishwa kwa mguvu.Umeamia kwa fakalava ??
Ahaaaaah yule shida mwishowe akamuuliza anataka kuwa queen au Lyon ??Kuna mstari moja alimchana dogo kwamba ana smell kama bikini ya cookie.
Unajua tuna dili gani
Na atulie kweli kweli.Sijuiiii
]Basi tulia, tunaenda onana na mwenyekit wa Koromije
Mwenye nyumba nan sasaSiyo kuhamia, hii inaitwa mwenye nyumba karudi mpangaji atahamishwa kwa mguvu.
Tehehehe tehe alikosa Jibu maana upande moja wa Jibu ulikuwa tusi, na mwingine ndio ulikuwa timu pinzani.Ahaaaaah yule shida mwishowe akamuuliza anataka kuwa queen au Lyon ??
Unauliza swali tena?Mwenye nyumba nan sasa
Unabahati umeonekana mapema, ulikuwa upigwe kanzu, na tobo kwa wakati moja.Na atulie kweli kweli.
]
Hakika wew u mama mtumishi japo mmeo ni mtumishi hewa
Ahaaaaaaaaah wewe nomaaaaTehehehe tehe alikosa Jibu maana upande moja wa Jibu ulikuwa tusi, na mwingine ndio ulikuwa timu pinzani.
Divaidi endi ruluUkisikia fitna za kiwango cha viroba ndo hizi sasa
Jibu sasa kama wewe mshika pembe tatu itajulikanaaUnauliza swali tena?
Huyu hana chakeUnabahati umeonekana mapema, ulikuwa upigwe kanzu, na tobo kwa wakati moja.
Nimemkuta anang'aa sharubu kwenye ka thread flani, ndio nikafanya kumng'ata sikio, kakimbia mpaka amepitilizaHuyu hana chake
Divaidi endi rulu
Nimeimiss sana hii kitu. Inabidi nijipange kuipakua upya.Ahaaaaaaaaah wewe nomaaaa
Sema wanajitahid sana sasa kuna manka mmoja wakuitwa Tory ndo partner wa Jamal shida aiseeeh anacheza na gitaa mpaka bhasi na yule mdogo wake shyne anampoteza Tiana kinomaaa