Makapuku Forum

Tatizo baba yako hataki ushauri..

Kule hazina na W ya fedha kuna watu wa sera na uchumi lakini mzee haambiliki...
Nimebahatika kusoma Economics topic ya Monetary Policy nikiwa Advance....Huyu jamaa anaua mzunguko Wa fedha maana tenda wanapeana wenyewe serikali ni halafu alivyo kauzu hafuati Sera wala bajeti
Halafu pia hataki kuweka fedha mabenki binafsi anarundika tu kule benki kuu haziingii kwenye mzunguko

Sasa tusubiri pesa zikauke mitaani halafu wachapishe furushi la maburungutu zen mfumuko wa bei uwe km wa Zimbabwe mkate Sh. elfu 50
..
 
There is big challenge with Magufuli..

We are now under capitalism whether you like it or you don't

Sasa hivi private sector ndo imashika uchumi, ukiuwa sekta binafsi unamaliza uchumi..

Ukitaka serikali ifanye kila kitu unauwa ushindani wa kibiashara sana..

Mkapa hakuwa mjinga kufanya privatisation..
 
Unanikumbusha swali la ""should the Goverment print more money? "
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…