Karibu....Nipeni kaka na Mimi koz naona sina ndugu humu...shukulani za thati kwako Transcend
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe na mwewe anabebwa!?Humu sio kifaranga ni cha kubebwa vingine vitakubeba wewe
Mambo ya mahaba na mapenzi huko.Ndo jukwaa lipi hilo?
Likoje likoje kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaa tunaenda maximum saa 6:01Tunakesha mkuu
Ndo manake ila itakuwa Poa ukileta manzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nanipikwe tu hakuna namna nyingine Mkuu we nipike tu!!Karibu....
Mondray na nyageni
Tuliwapokea kama wewe! Nikawapika vizuri sasa hivi ni makapuku wa kufa mtu [emoji23][emoji23]
Lee niwekee link ya uko unakosema basi [emoji23][emoji23]Ahaaaaaah kweli mkuu ila kule kwa wakubwa watoto Chaplin hawapo tutafute njiaa tuzame
Mkuuu mm ningekula ban ya maishaa jana walai
Wapo wapi niende huko huko maana siwezagi kula ugali bila mboga mieNasikia wako kule...
Yaani leo humu tupo wa kiume tuu [emoji23][emoji23]
Nakukabidhi kwa mondray na Nyagei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nanipikwe tu hakuna namna nyingine Mkuu we nipike tu!!
Mondray mpikeni huyu kijana mkubhiMuombe Invisible
Nyagei mdogo wako huyo..mpe somo kidogo kidogo..Endelea mkuu kuwepo ili uendelee kupata baraka za bwana
Hahaaa angejua maana ya Mukubhi asingejiita hilo jinaNakukabidhi kwa mondray na Nyagei
Mimi nitakuwa nagusia gusia tuu vitu vidogo vidogo
Mondray mpikeni huyu kijana mkubhi
Nyagei mdogo wako huyo..mpe somo kidogo kidogo..
Aksante mkuu ..hivo hivo vidogo vidogo koz bado sijakomaaNakukabidhi kwa mondray na Nyagei
Mimi nitakuwa nagusia gusia tuu vitu vidogo vidogo
Mondray mpikeni huyu kijana mkubhi
Nyagei mdogo wako huyo..mpe somo kidogo kidogo..
Huwezi kuwa siriazKama kawa mkuu queen kan nafikil yupo bed na livinus[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji102]
SaaanaaaaUnapenda hii couple?
Utaachika kaka pendo lako nalithamini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jukwaa la wakubwa ndo lipi hilo..
Sakayo kanikataza ila bado nazidi kuulizia [emoji28][emoji28]
Kubwa la hapa Makapuku..Nipeni kaka na Mimi koz naona sina ndugu humu...shukulani za thati kwako Transcend