Makapuku Forum

Mnachangiaje uzi wa mtu mwenye mtindio wa AKILI?
Mimi huwa sisomi uzi wala posts zake
Sasa walikutana kwenye uzi wa michambo!! Huo uzi ni wa kutoa kero mkuu.

Mwenyewe nilipo uona nilimkumbuka yeye na Ivunga lakini nafsi ikanisuta kutoa michambo nikakaa kimya.
Mara mdogo wangu akaja ndo akalitoa la moyoni. Nafikiri ligi ndo Ilianzia hapo
 
Achaneni na michambo, hiyo ni tabia za kizaramo
 
Alijifanya messi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…