Makapuku Forum

Shem nina habari mbaya, kuanzia mda huu mimi na patience123 tutabaki marafiki wa kawaida, ananiharibia huduma, anatoza watu wenye shida pesa na lengo lake kuwakatisha tamaa wanawake wasije kupata maombi, ana wivu sana bora nibaki kama paulo
Hahaaaa Patience123 yuko kipesa zaidi

Tafadhar usimuache bana...huyo mtafutaji hamtakufa njaa
 
Naatafuta wa kunipenda mimi,
Nimechoka na penzi la uongo,
Naa sijui kama nitakuja penda,
Nimechoka na penzi la uongo....

Wimbo: Natafuta
Msanii: Nyota Ndogo.
Ni mahususi kwa mabinti wote walio 'single' na wanahitaji kuwa na wapenzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…