Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
1921 - Moacir Barbosa Nascimento anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Vasco Da Gama na timu ya taifa ya Brazil.
Analaumiwa kwa kufanya makosa yaliyopelekea Brazil kupoteza mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia la mwaka 1950 katika ardhi ya nyumbani kwa kufungwa 2-1 dhidi ya Uruguay katika uwanja wa Maracana.
Goli la pili liligungwa na Uruguay liliyokana na kipa huyu kuzembea kukaa katika eneo sahihi hivyo kuruhusu kupoteza ubingwa huo licha ya Brazil kupewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo.
Mashabiki wa soka wa Brazil hawakuwahi kumsameje Barbosa na daima walimtenga katika shuguli za kijamii kitu kilichomtesa sana kisaikolojia.
1970 - Mariah Carey anazaliwa.
Mwanamuziki, mwigizaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani.
Ubarikiwe mkuu Mussolin5 asante sana kazi yako ni njema siku njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie Jumatatu njema.
Wanamzuga tu siku mbilitatu zen wataendelea km zamani upepo ukishabadilika kumbuka hana mvuto hivyo habari zake haziuzihahahhah si ndio anavyotaka kuuza sura
Ahsante Musso.Leo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie Jumatatu njema.
Uzee ushapiga hodi.anapenda kukaa nusu uchi jukwaani
...
Asante na kwako pia.Ubarikiwe mkuu Mussolin5 asante sana kazi yako ni njema siku njema
1974 - Gaizka Mandieta anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Valencia, Lazio, Barcelona, Middlesbrough na timu ya taifa ya Spain.
Alikuwepo kwenye kikosi cha Valencia kilichoingia fainali mbili mfululizo za Uefa Champions League na kupoteza fainali zote.
Fainali ya kwanza walipoteza dhidi ya Real Madrid mwaka 2000 na Fainali ya pili mwaka 2001 dhidi ya Bayern Munich.
Asante mkuuAhsante Musso.
shukran Mussolin na kwako piaLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie Jumatatu njema.
ana sauti nzuri mariahanapenda kukaa nusu uchi jukwaani
...
Ameen mama mchungaji ubarikiwe na wwAsante sana kwa magazeti mpendwa Shunie na Lee Empire asanteni mbarikiwe sana.
Wanamzuga tu siku mbilitatu zen wataendelea km zamani upepo ukishabadilika kumbuka hana mvuto hivyo habari zake haziuzi
...
1975 - Mwanamuziki Fergie anazaliwa.
Ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na dansa kutoka nchini Marekani.
1986 - Manuel Neuer anazaliwa.
Golikipa wa Bayern Munich na kepteni wa timu ya taifa ya Ujerumani.
Anatajwa kama mmoja wa magolikipa bora Duniani kwasasa.
Ameshinda kombe la dunia mwaka 2014 akiwa na Ujerumani.
Pia taji la Uefa champions League 2013.
Kwa huko Marekani wanafanya plastic surgery kuficha makunyanziUzee ushapiga hodi.