Makapuku Forum

Wakuu hope mko salama wote ,Leo sijawaletea magazeti ila naona baby anashukuliwa atakuwa amefanya hivo nimeskip post

Ntawamisi ila nawakumbuka na ntakuwa nawajulia hali kimagumashi kwa hizi siku mbili tatu

Nawapenda sana wote

Baby shunie take care ....

Ila ntaumis utani wetu hasa wanakamati wenzangu
 
Tuko pamoja sana mjomba, all the best
 
Hello sweetie Sakayo..

Time to sleep..leo sijisiki vizuri sana..! Inabidi nilale mapema tuu..

Just wanted to tell you that i real love you..

Uwe na usiku mwema utamu wa wangu Sakayo..[emoji173]
Love
Waendeleaje jamani!!! Jana nlilala na simu mikononi na data on.
Sorry mpenzi, love you roho yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…