Yaaaan bhinamu umenikosha bill nakunyanganya zamu yako lakini nalipa mm bhinamu..ndiyo ni sumu na hawajawahi kukataza kuonja sumu, wanakataza kunywa, nisahihishwe kama nimekosea
Mjomba, hii maneno yasiwe mjadala wa kikao mkakati cha leo
hahahhah siku ya kunywa hiko kinywaji nahisi nitachizikaAliyekuonjeshaa vodka kakoseaa
HeheheiyaaaNi vizuri ukawepo ili tupate mbinu mbadala, nitamwambia mjomba asimwalike yule mpangowake wa kando,
Au nimtaje mmtunakupenda pia mama mchungaji wetu [emoji8] tunataka tumjue baba mchchu
Waambiee mama mchungajiiiHahahaa hamuwaamini waume zenu?
ndio mana vikao vya huko haviishi kumbe ana mpango wa kando nilijua tu
Ukweli unaumaaa[emoji15][emoji15]moyo wa chuma sinaa
Mama mchungaji maombi yako plz bado nahaha sijapata inprogress....Umerudi salama haya tupebmrejesho mkuu
[emoji85]kuna watu mnajua kung'ang'ania [emoji23]
NtageiHamna lolote maa...hizo ni harakati za pimbi tu
[emoji124]hahahhahah kumbe ndio zenu
Maombi bila sadaka ni makelele, tuma sadaka kwanzaMama mchungaji maombi yako plz bado nahaha sijapata inprogress....
Umesahau kuweka koma na kuongezea tabiakufanana nn sura au rangi kuwa muwazi malkia
Alafu apike naninitakuwepo au sitakuwepo
ok fanya kitu basi[emoji15][emoji15]moyo wa chuma sinaa
Bhinamu huyu mhudumu mbona simwelewiiisure, na saa hizi nimepewa cheo, nahesabu sadaka. Hivyo suala la malipo ya kikao vinywaji usihofu, masurufu yapo
Bhinamu akae home apikeeeNi vizuri ukawepo ili tupate mbinu mbadala, nitamwambia mjomba asimwalike yule mpangowake wa kando,
Heheheiyaaa