Makapuku Forum

Sheria zipo wazi anayehusika na matibabu ni timu yake ya Taifa

Klabu itathirika kwa kukosa tu uwepo wake pia huu ni mwezi wa 3 mechi zimebaki chache na muda wa mapumziko unakaribia hivyo Agosti atakuwa keshapona kuanza ligi
.....
Atakuwa nje kwa muda gani?
 
Hujaelewa somo
Kufanya kazi kwa bidii (kufagia) hakujaleta mafanikio aliyonayo sasa alichofanya huyo jamaa ni kuacha kazi hiyo na kujikita kwenye kazi nyingine ambako kuna hela
Angeendelea tu kufagia leo hii asingekuwa tajiri
........
Nimependa kujituma kwake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…