Mie nimeamka salama shem,Morning wakùu ,ni matumaini tuko wazima kabisa wa afya na shunie anashukuru kwa Sara zenu
Ipitie link ya magazeti ya Leo
http://millardayo.com/mgmarch25/
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Queen naona mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mafanikio mema ila ukiachika usisahau kurudi ukoko mi uwa natumia [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
My dear though nimeiona nimechelewa ila jioni ilikuwa nzuriZa jioni humu
Hahahah kule mmu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mfate shunie akupeleke asali zilipo..
Ukimpta unamleta huku chap..
Tunaongeza familia
Haha...nmefanyajeHahahaa, kwini we ni mjanja sana
Kumbe ni wewe ulimwambia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] livi
Mkuu livi kakomalia nimempiga stop lakini hasikii wala haoni naona penzi la malkia limemnogea nimeamua nimwachie [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakubali kushindwa kizembe ??
Yan hata hajafight[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakubali kushindwa kizembe ??
Ooooooooh mkuuuSio liu ni livi livinus
MorningMorning wakùu ,ni matumaini tuko wazima kabisa wa afya na shunie anashukuru kwa Sara zenu
Ipitie link ya magazeti ya Leo
http://millardayo.com/mgmarch25/
[emoji4] [emoji4] tukiwa na shemela shunie utani huwa haukosi kabisa [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Nilikwambia nn mwanzoni ?
Miss you too....umeamkaje leoMy dear though nimeiona nimechelewa ila jioni ilikuwa nzuri
Missing you
Ukisusa wenzio walaMkuu livi kakomalia nimempiga stop lakini hasikii wala haoni naona penzi la malkia limemnogea nimeamua nimwachie [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu love is not made always bornMkuu livi kakomalia nimempiga stop lakini hasikii wala haoni naona penzi la malkia limemnogea nimeamua nimwachie [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Komaa kaza na kambaa[emoji4] [emoji4] tukiwa na shemela shunie utani huwa haukosi kabisa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji9][emoji9][emoji9]Mkuu love is not made always born
Nimemwambia livi tamvunja taya lakini naona hata ajastuka sijui kwanini anajasiri kama wa mweshimiwa nape nimemwachia tu ila usisahau kurudi nakusubir tuYan hata hajafight