Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Back off Amigo. Wasukuma wawili my foot. Mlaumuni Kikwete na uzembe wenu wa ku-focus na mambo ya muhimu. Umbea tu na hakuna kukazania mambo yanayohusu uhai wa taifa. Wakati ule mngegangamara mngepata katiba mpya ambayo ingepunguza madaraka ya rais na kuweka mambo mengi tu sawa. Badala yake Mkwere akawachekea weeee katiba ile nzuri kabisa hata haijulikani iko wapi. Wakati huo huo ameruhusu uhuru wa habari lakini anapitisha sheria ya makosa ya mtandao. Mambo mawili haya yangepingwa kwa nguvu zote pengine leo hii tungekuwa kivingine sana na naamini uchaguzi uliopita ungefanyika katika tume huru ya uchaguzi na mazingira tofauti kabisa ya kisiasa.Mababu zetu wipigania uhuru kutoka kwa wakoloni wa kizungu na kiarabu...
Wajukuu zao tumeshindwa kupigania uhuru kutoka kwa Wasukuma wawili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Sad movie,always makes people cry!Asante sana soulmate!
Leo siku imekaa kushoto sana!
Nimekunywa wine saa 4 badala ya chai...
Sasa hivi nataka nimpitie Bitoz tukanywe tikila tuu...
Am real bored with how Nape has been treated..!
Touching,frustrating!It was soo rough&sad[emoji22][emoji22]
Time will tellI know the same 2 me but time is a limit let's wait
Sikuwa na nia mbaya. Ndiyo maana nikasema natoa tu funguo tena bila masharti yo yote. Na mimi siko huko. Binadamu siku hizi hatusaidiani mpaka kuwe na strings attached?Mali ya watu hiyo shauri yako
Mkuu wala leo hatujachat...Habari zenu Makapuku?
Kwa uwezo wa Mungu naamini nyote much wazima kabisa, binafsi bado siko 100% kiafya Jan kichwa leo mafua tight hatari.
Nafurahi kuona bado mnakimbiza chit chat hongereni sana
Salama Mungu mwemaMakapuku ni gani humu?
Pole mkuuBack off Amigo. Wasukuma wawili my foot. Mlaumuni Kikwete na uzembe wenu wa ku-focus na mambo ya muhimu. Umbea tu na hakuna kukazania mambo yanayohusu uhai wa taifa. Wakati ule mngegangamara mngepata katiba mpya ambayo ingepunguza madaraka ya rais na kuweka mambo mengi tu sawa. Badala yake Mkwere akawachekea weeee katiba ile nzuri kabisa hata haijulikani iko wapi. Wakati huo huo ameruhusu uhuru wa habari lakini anapitisha sheria ya makosa ya mtandao. Mambo mawili haya yangepingwa kwa nguvu zote pengine leo hii tungekuwa kivingine sana na naamini uchaguzi uliopita ungefanyika katika tume huru ya uchaguzi na mazingira tofauti kabisa ya kisiasa.
Panua wigo wako wa kutazama mambo na uki-focus kwenye kabila hutafika popote. Katiba ile mpya inahitajika sana na hili ndo liwe ajenda kubwa ya kila mtu otherwise hata aje malaika kutawala sidhani kama kutakuwa na mabadiliko ya maana katika mfumo wetu wa kiutawala.
Hahahaha siasa ngumu
Mi alinipa tu hata. Kuapa sikuapa
.....
KweliTunakoelekea nchi hii ukizima data japo dk 5 tu unaweza kukuta nchi imebadilishwa hadi jina
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Hahahaha inatishaMababu zetu wipigania uhuru kutoka kwa wakoloni wa kizungu na kiarabu...
Wajukuu zao tumeshindwa kupigania uhuru kutoka kwa Wasukuma wawili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
MnooooooJe wajua nywere nyeupe huonyesha mtu ana hekima na busara ?
Hahahaaa
FactSikuwa na nia mbaya. Ndiyo maana nikasema natoa tu funguo tena bila masharti yo yote. Na mimi siko huko. Binadamu siku hizi hatusaidiani mpaka kuwe na strings attached?
Jana niliacha 147k leo nimekuta 148kMkuu wala leo hatujachat...
Pole mkuu sisi Mungu anatupigania tupo salama changamoto hazikosekani lakini Mungu ni mwaminifu siku haigandi ,inaisha...umeenda hospitali fluu ya sasa si nzuri ni muhimu uitibu seriously watu wengi wanaumwa mpaka kulazwa kwa mafua ..Mungu akusaidie uwe mzima ubarikiweHabari zenu Makapuku?
Kwa uwezo wa Mungu naamini nyote much wazima kabisa, binafsi bado siko 100% kiafya Jan kichwa leo mafua tight hatari.
Nafurahi kuona bado mnakimbiza chit chat hongereni sana
Eye opener thanks[emoji120]Back off Amigo. Wasukuma wawili my foot. Mlaumuni Kikwete na uzembe wenu wa ku-focus na mambo ya muhimu. Umbea tu na hakuna kukazania mambo yanayohusu uhai wa taifa. Wakati ule mngegangamara mngepata katiba mpya ambayo ingepunguza madaraka ya rais na kuweka mambo mengi tu sawa. Badala yake Mkwere akawachekea weeee katiba ile nzuri kabisa hata haijulikani iko wapi. Wakati huo huo ameruhusu uhuru wa habari lakini anapitisha sheria ya makosa ya mtandao. Mambo mawili haya yangepingwa kwa nguvu zote pengine leo hii tungekuwa kivingine sana na naamini uchaguzi uliopita ungefanyika katika tume huru ya uchaguzi na mazingira tofauti kabisa ya kisiasa.
Panua wigo wako wa kutazama mambo na uki-focus kwenye kabila hutafika popote. Katiba ile mpya inahitajika sana na hili ndo liwe ajenda kubwa ya kila mtu otherwise hata aje malaika kutawala sidhani kama kutakuwa na mabadiliko ya maana katika mfumo wetu wa kiutawala.
Maryland ya wapi ?tuombe funguoSikuwa na nia mbaya. Ndiyo maana nikasema natoa tu funguo tena bila masharti yo yote. Na mimi siko huko. Binadamu siku hizi hatusaidiani mpaka kuwe na strings attached?
Yes nilikwenda nimepatiwa Cetrizine na antibioticsPole mkuu sisi Mungu anatupigania tupo salama changamoto hazikosekani lakini Mungu ni mwaminifu siku haigandi ,inaisha...umeenda hospitali fluu ya sasa si nzuri ni muhimu uitibu seriously watu wengu wanaumwa mpaka kulazwa kwa mafua ..Mungu akusaidie uwe mzima ubarikiwe