Makapuku Forum

Usijali
Atafukuza mmoja then wataibuka wawili, atafakuza wawili zen wataibuka watatu ...chain itaenda hivyo kumbuka uvumilivu una kikoma

Muda ubavyosonga ndo CCM inazidi kugawanyika ....upinzani unapata nguvu
....
Yaani

Mwigulu
J.makamba

Wapo basi tuu..! Natamani watokee tuu..

Ile team kampeni itoke yooote..
 
Usijali
Atafukuza mmoja then wataibuka wawili, atafakuza wawili zen wataibuka watatu ...chain itaenda hivyo kumbuka uvumilivu una kikoma

Muda ubavyosonga ndo CCM inazidi kugawanyika ....upinzani unapata nguvu
....
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…