Makapuku Forum

Baby natangulia kitandani

Ukimaliza stori na shost zako uje mama..

Nakusuniri kwa hamu...! Afu leo si unajua nimekunywa wine kidogo..

Natakusubiria mama..
Twenzetu tukalale love, naanzaje kupiga story huku wewe umelala peke yako!!!

Mashost mtanisamehe, naenda nalala na shem wenu.

Baby love Twenzetu honey!!!
 
Jamani hivi humu kunawachumba maana naona apo juu ni zaidi ya mapenzi mubashara all in all na mimi natafuta
Unatafuta? Mi huu mwezi wa pili nahangaika couplez zimegandana kama ruba. Jaribu bahati yako mkuu...Lakini kama ulivyoambiwa hapo juu huku ni stress free zone na utani ni mwingi sana. Don't take everything seriously kama Bashi.te...
 
Aiiiseeh shimba nimekupata kwaiyo wewe huu mwezi wa pili ujapata manzi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…