Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,381 Sakayo said: Asante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu. Mie naelekea siasani. Muwe na usiku mwema Click to expand... Dont go!
Sakayo said: Asante mume wangu, Mondray kasema mapenzi mmu. Mie naelekea siasani. Muwe na usiku mwema Click to expand... Dont go!
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,382 Sakayo said: Siasani mdogo wangu Click to expand... Nitakukuta huko..
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Mar 22, 2017 #147,383 lee empire said: Mkuu nikupe ban ?? Click to expand... Mkuu ban hapana bana ban naskia ni mbaya unaiona jf kama game la puzzle
lee empire said: Mkuu nikupe ban ?? Click to expand... Mkuu ban hapana bana ban naskia ni mbaya unaiona jf kama game la puzzle
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,384 chomchomsy said: Mmenikaribisha vizuri sana...humu ndani mda wote mubashara, hakuna uchoyo kabisa Click to expand... Karibu..
chomchomsy said: Mmenikaribisha vizuri sana...humu ndani mda wote mubashara, hakuna uchoyo kabisa Click to expand... Karibu..
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Mar 22, 2017 #147,385 lee empire said: Daaaaaaah Unatumia simu gani?? Click to expand... Samsung j3 (6)
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,386 emmyta said: Sijambo kaka! Ndio mana ukawepo kaka unayenifahamu vyema. Umeshindaje? Wifi yangu Sakayo naye hajambo Click to expand... Sijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu
emmyta said: Sijambo kaka! Ndio mana ukawepo kaka unayenifahamu vyema. Umeshindaje? Wifi yangu Sakayo naye hajambo Click to expand... Sijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,387 emmyta said: Sijambo kaka! Ndio mana ukawepo kaka unayenifahamu vyema. Umeshindaje? Wifi yangu Sakayo naye hajambo Click to expand... Niko pouwa kabisa! Wifi yako yu mzima wa hali.. Anafanya vitu amazing tuu..
emmyta said: Sijambo kaka! Ndio mana ukawepo kaka unayenifahamu vyema. Umeshindaje? Wifi yangu Sakayo naye hajambo Click to expand... Niko pouwa kabisa! Wifi yako yu mzima wa hali.. Anafanya vitu amazing tuu..
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Mar 22, 2017 #147,388 lee empire said: Ongeraaa ila wenge punguzaa Click to expand... Mkuu wenge nimekwambia nipo motivated itabid mnizoee hivo hivo tu lkn ma2c sipendeleagi
lee empire said: Ongeraaa ila wenge punguzaa Click to expand... Mkuu wenge nimekwambia nipo motivated itabid mnizoee hivo hivo tu lkn ma2c sipendeleagi
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,389 Sakayo said: Usijali Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu Click to expand... Mondray anatania bhnaa..!
Sakayo said: Usijali Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu Click to expand... Mondray anatania bhnaa..!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Mar 22, 2017 #147,390 Sakayo said: Bashite Mungu anamuona Click to expand... hahahhh sana ana roho ngumu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Mar 22, 2017 #147,391 Sakayo said: Usijali Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu Click to expand... alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray
Sakayo said: Usijali Huwa sipendi kumuudhi mtu. Kuwa na amani, humu nakujaga kuwasalimia tuu Click to expand... alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,392 Sakayo said: Sijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu Click to expand... Poleee jamani.. Afu ndo maana jioni umekuwa mpoleee...! Get will soon utamu wangu
Sakayo said: Sijambo kiasi, nina dozi ya nemonia sina hamu Click to expand... Poleee jamani.. Afu ndo maana jioni umekuwa mpoleee...! Get will soon utamu wangu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,393 Transcend said: Dont go! Click to expand... Please!! Sijazoea kumuudhi mtu. Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali
Transcend said: Dont go! Click to expand... Please!! Sijazoea kumuudhi mtu. Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,394 Transcend said: Nitakukuta huko.. Click to expand... Hamna shida
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 22, 2017 #147,395 Shunie said: alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray Click to expand... Hivi Ray Van Boy yuko wapi ?
Shunie said: alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray Click to expand... Hivi Ray Van Boy yuko wapi ?
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,396 Transcend said: Niko pouwa kabisa! Wifi yako yu mzima wa hali.. Anafanya vitu amazing tuu.. Click to expand... Hahaha Haya bwana, ila mie nimegonjeka
Transcend said: Niko pouwa kabisa! Wifi yako yu mzima wa hali.. Anafanya vitu amazing tuu.. Click to expand... Hahaha Haya bwana, ila mie nimegonjeka
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,397 Transcend said: Mondray anatania bhnaa..! Click to expand... Mmmmh
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,398 Shunie said: hahahhh sana ana roho ngumu Click to expand... Yaani yule jamaa ni sheeda
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Mar 22, 2017 #147,399 Sakayo said: Please!! Sijazoea kumuudhi mtu. Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali Click to expand... Mmh dada
Sakayo said: Please!! Sijazoea kumuudhi mtu. Nitakuwa naja kukusalimia wala usijali Click to expand... Mmh dada
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 22, 2017 #147,400 Shunie said: alikua anakutania dada kwan haujamzoea tu mondray Click to expand... Mmmmh Ngastukaa