Ndo maana nikasema kama, maana mara ya mwisho alikuwa kwenye uzi wa yule chalii mmoja kamfungulia uzi, ndo tulionana paleIla shunie hana ukorofi wa kupewa ban..
Ni muelewa na saikolojia za watu wakipaniki..
Kule pagumu..! Ina bidi uwe kama nifah hivi ndo utapaweza..Kule palinishinda
Huwezi..!Sawa ngoja tuvute muda kwanza
Shunie anakuona...sio Mungu hata..Ahaaaaaaah
Mwambie apunguze bangi
MsameheHuitaji kumjibu huyu..!
Bado akili yake haijakomaa
Kuna jamaa anasema sijui kampa shunie mimba..!Ndo maana nikasema kama, maana mara ya mwisho alikuwa kwenye uzi wa yule chalii mmoja kamfungulia uzi, ndo tulionana pale
Mkuu pole pole tuu...
Nawamisijeeeeeeee
HaswaaAisee! Ni michakato ya hatari...
Si unajua town heshima ni hela..!
Lazima uzitafute..
AhaaaaaaahHuwezi..!
Muulize lee...unakumbuka alileft kisa utani..ingekuwa real sasa?
Kule pagumu..! Ina bidi uwe kama nifah hivi ndo utapaweza..
Ila kwa mtoto wa kiume unaweza ukajikuta unakuwa wa umbea-umbea tuu
Kuna jamaa anasema sijui kampa shunie mimba..!
Yawekana shunie kararua mtu huko..
Mbona ali-nuetralize lile jambo au yule kiumbe alizidi kumpanda,?Kuna jamaa anasema sijui kampa shunie mimba..!
Yawekana shunie kararua mtu huko..
Cheki huu uzi..! Kuna mjinga kaingia jf kijinga...nadhani ndo chanzo cha ban ya shunie..
AhaaaaaaaaaaahMfate Pm
Weww si ndo unaweza kwenda pm tuu..
Nishamsamehe sweetie..Msamehe
Omba iwe ban fupi...Ahaaaaaaaaaaah
Ila kama kapata ban ntakomaa
Yule mshkaji nampata...ni msumbufu balaaaa...Mbona ali-nuetralize lile jambo au yule kiumbe alizidi kumpanda,?