Makapuku Forum

1943 - Rudolf von Gersdoff anajaribu kumuua Adolf Hitler kwa bomu katika ukumbi.

Hitler anawahi kuondoka katika ukumbi huo kabla ya muda uliopangwa na hiyo inakuwa ndio pona yake.

Katika utawala Adolf Hitler amenusurika majaribio 26 ya kuuwawa.
Adolf Hitler alikua na machale na alijua anamaadui wengi maisha ya hofu kila wakati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…