Makapuku Forum

Ndio nakuambia sasa, kipenzi chako cha roho sijui alizingua nini wiki akapumzishwa couples zikabaki mbili tu tena hazina mashiko bora yenu imerudi kuwabamba wakongwe
Mondray sweety [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] !!!
Huko ulipolala niote barafu wa moyo wangu!!! Nimekusamehe na kusahau mazima!!!
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…