Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,627
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
UlimtongozaSijamtongoza shunie mimi bhana!
Afu wew inataka kinifanya nianze kujidefence na mimi sitaki nifanye hivyo...
Mimi sina mkwara wala...
AiseeeMorning Baby ake...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeona na kuchapia anachapia yote kwa ajili yako Clkey
Vipi mbona unasisimka?Aiseee
AlimtongozaaUlimtongoza
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaani hii notification simu imepiga kelele balaa...kumbe ni maneno ya uwongo ya Lee...
Lee!Morning Tena wakuuu!
I love this forum!
Lee njoo kaka! This was a morning warm up
Shunie;
Usilie tena dada, nilitaka nijue kama unampenda leee [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu forum imechangamka kidogo...!
Relax sasa! Afu mimi sijabadili avatar yangu...
Lee empire and shunie love you all...
Asante kwa morning warm up!
Papaaa kwema?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mwalimu wa kareti anapopigwa na mwanafunzi wake!Hahaaaaaaaa! Daah ! Nilikuwa wapi huu muda?
Wanafunzi wangu mnachekesha sana
Mkuu! HaaaaaaaMwalimu wa kareti anapopigwa na mwanafunzi wake!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wala sikuwekei pingamizi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Werrason shaidi..
Yes, nini[emoji27]Nini
Ajee wapiiShem uje huku!
Mmeo muongo!
Vile ilivyokuwa bro it was so funny sikuwa na budi nichekeWewe unamcheka brooh!
Njema sana, za wewe?Habarini jamanii, nawasalimu nyote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaaaaa! Daah ! Nilikuwa wapi huu muda?
Wanafunzi wangu mnachekesha sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Vipi mbona unasisimka?
Mie poa, miss nyieSafi tu sijui ww