Makapuku Forum

Kwa hilo tu usijali ntamwambia kabisa mbona yule tunamvuta gheto soon ..muhimu kirikuu chetu kijae mafuta tukienda kumpokea

Alafu bhinamu ukiulizwa na aunt yako mwambie Leo nakusindikiza ...kale kapromis ni leo
 
Ha hahhahhahah, hili tu halina shaka, aunt hata kabla hajauliza namwambia kabisa tena namuonyesha na barua ya kukuomba unisindikize, halafu kila mtu anaendelea kujikongoroa anavyoweza.
BTW, aunt kapendeza na kaphotoshop kapya Shunie
 
Ilaaaa sasa bhinamu usiwe mpenda kuongea ukweli make akikurushia ya vodka unaniangamiza

Kapendeza ila na uzuri unachangia plus gharama
 
utani kando mjomba, una majribu kwa aunt yaani hata Bahati Bukuku haoni ndani, yaani ukianzia kwa kina SHIMBA YA BUYENZE ,Transcend , Mondray, Ray van Boy , werrason , e2n list ni ndefu sana.
Ukiyashinda nitamuomba BH aongeze na mapambio
Bhinamu tena jitahid BH tumpate

Mm mpaka mpeleka posa mkongo ashanizunguka ,danjaboy yumo ,usser yumo ,nyangei nk
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…