Makapuku Forum

KAPUKU WA SIKU ;

Tunatambua uwepo wa kapuku wote humu ndani ,nichukue nafasi hii kutambua uwepo wa mkuu kapuku TRANSCEND kuwa ndo kapuku wetu wa Siku ya Leo tar 13 march ..

Tunashukuru kwa mchango wako wa Leo
I salute everyone in this forum!

Hii sifa ni kwa makapuku wotee! You made my day guys...!

I salute all kapukuz
 
I salute everyone in this forum!

Hii sifa ni kwa makapuku wotee! You made my day guys...!

I salute all kapukuz
That's true mkuu ...uzuri kapuku wote ni sawa humu na kutambua hilo nimethamini uwepo wako kwa Leo sio kawaida yako from morning up now ..you deserve it mkuu

Na hii tuzo naomba atakuwa anatoa mtu yoyote kwa mtu yeyote simply kwa kuthamini zaidi uwepo wake kwa Siku ila kama nimekosea nisamehewe nimeitoa kwa upendo ...

Nawasilisha
 
JE WAJUA??
RICHARD HARRIS
aliyecheza kwenye filamu ya Harry potter kama Profesa Dombledore, alikua amekataa kucheza nafasi hiyo. Lakini alikubali kucheza nafasi hiyo baada ya mjukuu wake wa kike mwenye miaka 11 kumuambia kua kama hatacheza nafasi hiyo basi hata ongea nae tena.


****Special for Kapuku of the Day**********
Brother Transcend
Huge Respect bro
 
Sometimes feelings ni kikohozi hiwezi kuficha..!so hujakosea brooh!


Ila we both made the day together! Makupuku woteee....!

Falsafa yetu ni kuwa makapuku wote ni sawa na hakuna anayemzidi mwenzie!

Everyone deserve a Credit!
 
This is power of love!

Mzee alikuwa anampenda mjukuu wake sana...

Mode of the fact:

makapuku Tupendane
 

Naishia hapa km unaendelea ataleta picha mwingine
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…