MAKAPUKU FORUM
Hii ni thread maalumu kwa ajili ya vijana kukutana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu maujanja ya maisha pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani
...........................................................
Hii ndo reply ya 100K na kuwa rekodi kwa JF nzima kwa kuufanya kuwa uzi wenye reply nyingi kuliko uzi wowote tangu kuanzishwa kwa JF
...............................................................
karibun
Once a kapuku
Always a kapuku
.........................