1918 - Jiji la Moscow lachaguliwa tena kuwa Makao Makuu ya Urusi baada ya Jiji la Saint Petersburg kuhudumu kwa miaka 215 kama makao makuu ya Nchi hiyo.
1933 - Wakati wa Kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( World Economic Depression ) Rais wa Marekani Franklin D. Roosevelt anahutubia Taifa hilo kwa mara ya kwanza.